kanisa la pcgt gosheni mahali salama
Mchungaji Kiongozi
Aliyeitwa na Mungu kuongoza kanisa kwa hekima na neno la msalaba.
Mchungaji Mwenza
Mchungaji mwenye upendo na huruma, anayejitoa kwa wanawake na familia.
PCGT — Gosheni Mahali Salama ilianzishwa chini ya uongozi wa Mchungaji Francis Joshua Mwakilulele, aliyeitwa na Mungu kuleta uamsho na neno la msalaba kwa watu wa Dar es Salaam na Tanzania nzima. Kanisa linapatikana Darajani, Kigamboni, ambako linahudumia jamii kwa bidii na upendo.
Tangu kuanzishwa kwake, kanisa limekuwa kimbilio la wengi wanaotafuta uponyaji, ukombozi, na uhusiano wa karibu na Mungu. Tunashikilia sana fundisho la neno la msalaba kama nguvu ya Mungu kwa wokovu.