Ratiba ya Ibada za Wiki

Jumapili - Ibada Kuu

Mahubiri yenye nguvu ya Mungu, maombi na ushirika wa roho mtakatifu.

08:30 - 13:00

Jumatano - Mafundisho na Maombi

Kipindi cha kina cha neno la Mungu na maombi ya kujenga imani.

17:30 - 20:00

Ijumaa - Usiku wa Mkesha

Maombi, kuachiliwa, na kupakwa mafuta ya Roho Mtakatifu.

20:00 - 00:00

Jumamosi - Vijana na Kwaya

Mazoezi ya kwaya, vijana, na maandalizi ya huduma.

17:00 - 20:00

Mahali Tulipo

Darajani Kigamboni, Dar es Salaam, Tanzania

Karibu uabudu nasi — Mungu akubariki!

Wasiliana nasi