Nyumbani kwa wokovu, upendo na nguvu ya Roho Mtakatifu
Mchungaji Kiongozi
Aliyeitwa na Mungu kuongoza kanisa kwa hekima na neno la msalaba.
Mchungaji Mwenza
Mchungaji mwenye upendo na huruma, anayejitoa kwa wanawake na familia.
Pcgt Gosheni Mahali Salama, Darajani Kigamboni.
Kanisa letu linaanzishwa kwa msingi wa neno la msalaba ambalo ni nguvu ya Mungu kwa wote wanaoamini. Tunasadiki kuwa Yesu Kristo ndiye Bwana na Mwokozi, na tunatazamia kueneza injili ya wokovu kwa kila mtu katika jamii yetu.
Kuwa kanisa la msingi wa neno la msalaba linaloleta mabadiliko, uponyaji na wokovu kwa familia zote za Tanzania na kwingineko.
Kuhubiri injili ya msalaba, kufundisha neno la Mungu kwa ukamilifu, na kutumikia jamii kwa upendo.
Biblia ni neno lenye uhai na mamlaka kamili.
Tunaamini nguvu ya maombi.
Upendo ndio alama ya wanafunzi wa Kristo.
Kuwasaidia wenye uhitaji.
Karama za Roho Mtakatifu zinatenda kazi leo.
Kuwa pamoja kama familia moja ya Mungu.